Mshahara
TZS 1,850,000 / mwezi
Aina ya Kazi
Full Time ยท Contract ya miaka 2
Maelezo ya Kazi
Kazi ya usafi na huduma kwa wageni katika hoteli ya nyota nne Dubai. Chakula na malazi hulipiwa na mwajiri.
Sifa Zinazohitajika
- โKiingereza cha kawaida
- โPassport halali
- โUmri 21-40